Rinaldo ataja wachezaji sita watakaomrithi - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Monday, August 28

Rinaldo ataja wachezaji sita watakaomrithi



Staa wa soka wa Real Madrid na timu ya taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo wiki hii alitangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa Ulaya msimu wa 2016/2017 tuzo iliyotolewa na shirikisho la soka barani Ulaya UEFA.
Ronaldo ni mchezaji ambaye ameshinda karibia kila kitu katika maisha yake ya soka kasoro kombe la dunia, ametaja list ya wachezaji ambao wanaweza kuwa wachezaji bora wa dunia kwa siku za usoni.
“Nani anaweza kuja kunishinda kuwa mchezaji bora zaidi? hilo ni swali zuri naona baadhi yao ambao wanaweza fanya hivyo  ni Marco AsensioKylian MbappéNeymarOusmane Dembele,Eden HazardMarcus Rashford na wengine 

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here