Polisi walifahamisha kupigiwa simu na mmoja ya jamaa ya mhamiaji kutoka Mexico ambaye aliripoti kwamba jamaa yake alikuwa amefungiwa katika lori lililokuwa limefika katika kituo cha mafuta kilichokuwa katika mpaka wa Mexico.
Polisi walielkea eeneo hilo na kupata wahamiaji 14 waliokuwa raia kutoka Mexico,Guatemala,Honduras na Romania .
Wahamiaji hao waliokuwa wamefungiwa hapo walipatikana wakiwa hai ingawaje hali zao za afya hazikubainishwa .
Raia 2 wa Cuba walikamatwa kufuatia tukio hilo .
Huku hayo yakiendelezwa kulikuwa na nyuzi joto za juu za 38 ambazo zilihatarisha maisha ya wahamiaji hao kukaa kwa muda mrefu wakiwa wamefungiwa .
No comments:
Post a Comment