Bondia Jake LaMotta afariki akiwa na miaka 95 - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Thursday, September 21

Bondia Jake LaMotta afariki akiwa na miaka 95



Bondia wa zamani wa uzito wa kati na mchekeshaji Jake LaMotta,amefariki dunia akiwa na miaka 95, Mke wake amesema LaMotta amefariki nyumbani kwake kwa ugonjwa wa homa ya mapafu, Alikuwa mpiganaji maarufu zaidi miaka ya 40 na 50.



Atakumbukwa kwa uvaaji wa kaptula yenye mistari ya chuichui na wakati fulani alikua akiingiza uchekeshaji wakati akipigana jambo lililomfanya mpinzani wake kuishia kucheka na yeye kushinda.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here