Ccm yatoa Tamko kupigwa risasi kwa Tundu Lissu - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Thursday, September 7

Ccm yatoa Tamko kupigwa risasi kwa Tundu Lissu

Mkqelitzblog

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia kwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Humphrey Polepole kimelaani kitendo alichofanyiwa Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu kwa kupigwa risasi leo mchana nyumbani kwake Dodoma.

Taarifa hiyo ya CCM inalaani kitendo hicho cha kikatili na kusema si kitendo cha utu hivyo kimelitaka jeshi la polisi kufanya uchunguzi wa tukio hilo na kuwachukulia sheria kali wote ambao watapatikana kuhusika katika tukio hilo. 

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here