Morata na Isco waibeba Hispania - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Sunday, September 3

Morata na Isco waibeba Hispania


Nyota wa Real Madrid, Isco akishangilia baada ya kuifungia Hispania mabao mawili dakika za 13 na 40 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Italia kwenye mchezo wa Kundi G kufuzu Kombe la Dunia mwakani Urusi. Bao lingine la Hispania katika mchezo huo uliofanyika Uwanja wa Bernabeu mjini Madrid, lilifungwa na Alvaro Morata wa Chelsea dakika ya 77.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here