Nyalandu aomba kumsafirisha Tundu Lissu Marekani kwa Matibabu Zaidi - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Wednesday, September 20

Nyalandu aomba kumsafirisha Tundu Lissu Marekani kwa Matibabu Zaidi

Nyalandu aomba kumsafirisha Tundu Lissu Marekani kwa Matibabu Zaidi
Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu ameweka kambi nchini Kenya kuangalia uwezokano wa kupata ruhusa kutoka kwa madaktari ya kumsafirisha Mh Tundu Lissu kwenda Marekani kwaajili ya matibabu zaidi baada kushambuliwa kwa risasi na watu wasiojulikana.

Nyalandu amedai ni siku ya tatu bado hajapata ripoti inayoonyesha maendeleo ya mgonjwa huyo ili waangalie kama wanaweza kwenda nchini Marekani kwaajili ya matibabu zaidi.

==> Hii  ni Taarifa ya Mh Nyalandu 

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here