Breaking News: Odinga ajitoa kwenye uchaguzi mkuu Kenya - MKWELITZ BLOG

.

demo-image-Recovered

.

Capture

Tuesday, October 10

Breaking News: Odinga ajitoa kwenye uchaguzi mkuu Kenya


rts1ayos-e1502254858480
Kiongozi mkuu wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga, ametangaza kuwa hatashiriki kwenye uchaguzi mkuu ambao unapangwa kufanyika tarehe 26 mwezi hu.

Bwana Odinga anasema anataka kufanyika uchaguzi mpya jinsi ilivyoamuliwa na mahakama ya juu
Uchaguzi huo wa tarehe 26 utakuwa ni marudio ya uchaguzi mkuu, baada ya mahakama ya juu nchini Kenya kufuta matokeo ya uchaguzi wa tarehe 8 mwezi Agosti mwaka huu.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad