Waliokufa Ziwa Victoria wafikia 12 - MKWELITZ BLOG

.

demo-image-Recovered

.

Capture

Monday, October 9

Waliokufa Ziwa Victoria wafikia 12

Waliokufa Ziwa Victoria wafikia 12
1
Idadi ya watu waliokufa baada ya Toyota Hiace kuzama Ziwa Victoria imeongezeka na kufikia 12.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Ahmed Msangi  amesema katika ajali hiyo watu watatu wameokolewa wakiwa hai.


Msangi amesema walionusurika wameokolewa na wananchi ambao ni wataalamu wa kuogelea.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad