Katika tukio hilo la kusisimua, Bush alilazimika kukimbia, akiepuka kugongwa na viatu hivyo.
Kiatu cha pili kilichorushwa na mtu huyo, kilipiga bendera ya Marekani ambà po wakati huo, Al-Zaidi anacheka.
Baada ya tukio hilo, haraka walinzi walimkamata na kumtoa katika chumba. Matukio ya aina hii yalikuwa yakitokea mara kwa mara kwa kiwango cha kimataifa.



No comments:
Post a Comment