Gwajima azuia watu kulia kwenye msiba wa Mama yake - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Friday, January 26

Gwajima azuia watu kulia kwenye msiba wa Mama yake


ASKOFU wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Dk. Josephat Gwajima ameacha gumzo na mshangao baada ya kuzuia watu kulia kwenye ibada ya kuaga mama yake mzazi, Bi. Ruth Paulo Gwajima iliyofanyika nyumbani kwa mchungaji huyo na kisha mwili wa marehemu kuzikwa kwenye shamba la familia, nje kidogo na nyumbani hapo, Salasala jijini Dar.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here