Mkorea atinga nusu fainali ya Australian Open - MKWELITZ BLOG

.

demo-image-Recovered

.

Capture

Wednesday, January 24

Mkorea atinga nusu fainali ya Australian Open


636522016397780995-AFP-AFP-XG4KV-96807095
Mcheza tenesi kutoka Korea Kusini Chung Hyeon amefanikiwa kutinga nusu fainali ya michuano ya Australian Open 2018.

Chung ametinga kwenye hatua hiyo baada ya kumtupa nje ya mashindano hayo Tennys Sandgren kwa seti 6-4 7-6 (7-5) 6-3.

Awali mchezaji huyu anayeshika nafasi ya 58 katika viwango vya ubora wa mchezo huo duniani hakupewa nafasi hata kidogo kufikia katika hatua hiyo huku akimtupa nje ya michuano hiyo kigogo Novak Djokovic Jumatatu hii kwa seti 7-6, 7-5, 7-6.

Chung Hyeon amekuwa mchezaji wa kwanza kutoka Korea Kusini kufika katika hatua kama hiyo ya michuano hiyo.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad