TANZIA: Kocha Msaidizi wa Mwadui Afariki Dunia - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Wednesday, January 24

TANZIA: Kocha Msaidizi wa Mwadui Afariki Dunia




Kocha Msaidizi wa Mwadui FC, Jumanne Ntambi amefariki dunia mjini Shinyanga.
Ntambi ambaye ni mchezaji wa zamani wa Biashara Shinyanga, amefariki katika Hospitali ya Mkoa wa Shinyanga.
Taarifa zinasema aliugua muda mfupi na alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa moyo ambao aliugundua katia hatua a mwisho kabisa.

Hadi mauti yanamkuta jana saa tatu usiku, marehemu alikuwa mwajiriwa wa klabu ya Mwadui FC ambayo uongozi wake umethibitisha kuhusiana na msiba huo.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here