KING KIBA KUKIWASHA KWENYE JUKWAA LA MTV MAMA OKTOBA 22 - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Tuesday, September 13

KING KIBA KUKIWASHA KWENYE JUKWAA LA MTV MAMA OKTOBA 22

Na Babu Ally

Hit maker wa nyimbo ya "Aje'' Ali kiba ni mmoja wapo wa wanamuziki watakaolishambulia jukwaa la ''MTV MAMA" oktoba 22 huko Johannesburg,Afrika ya kusini.

Kupitia mtandao wa Instagram wa meneja wa msanii huyo, Seven Mosha ameweka picha ya msanii wake huyo na kuandika ujumbe unaosomeka, The King @officialalikiba is set to perform at the MTVAfrica Music Awards 2016 .”
Pia MTV Base wameandika: Yes,@OfficialAliKiba to bring that HEAT to the stage .”
Tuzo hizo zinatarajiwa kufanyika kwenye ukumbi wa Ticketpro Dome, Jumamosi ya Oktoba 22, mwaka huu. Wasanii wengine wanaotarajia kutumbuiza kwenye tuzo hizo ni pamoja na Yemi Alade, Nasty C, Babes Wodumo na wengine wengi. Kwa mwaka huu tuzo hizo zina vipengele 18 ambavyo wasanii kutoka nchi mbalimbali za Afrika watawania.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here