LUKAKU AELEZA ALIVYOWATEMA JUVENTUS - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Tuesday, September 6

LUKAKU AELEZA ALIVYOWATEMA JUVENTUS

Na Anael James Waziri_Tall

MSHAMBULIAJI nyota wa kimataifa wa Ubelgiji, Romelu Lukaku amedai aliikacha Juventus ili aendelee kubakia Everton.


Lukaku ambaye amefunga mabao 25 katika mashindano yote akiwa na Everton msimu uliopita, alikuwa akihusishwa na tetesi za kuondoka Goodison Park kiangazi hiki.

Chelsea waliripotiwa kutaka kumsajili tena nyota huyo ambaye walimuuza mwaka 2014 huku Juventus nao ikitajwa kama timu nyingine ambayo angeweza kwenda.


Pamoja na kukosa michuano ya Ulaya kwa kubaki Everton, Lukaku mwenye umri wa miaka 23 anadhani ulikuwa uamuzi sahihi kubakia kwasababu ilikuwa mapema mno kwake kwenda Serie A.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here