KUMBE REAL MADRID WANA MIPANGO NA RASHFORD - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Friday, November 11

KUMBE REAL MADRID WANA MIPANGO NA RASHFORD

NA ANAEL JAMES WAZIRI_TALL

KLABU ya Real Madrid inadaiwa kumuwinda mshambliaji chipukizi wa Manchester United Marcus Rashford. 
Image result for RASHFORD
Marcus Rashford


Nyota huyo mwenye umri wa miaka 19 alianza kukichezea kikosi cha kwanza cha United Februari mwaka huu na kuonyesha kiwango kikubwa kabla ya kuja kufunga bao katika mchezo wake wa kwanza na kikosi cha timu ya taifa ya Uingereza. 

Hata hivyo, Rashford anaweza kuondoka Old Trafford kufuatia Madrid kudaiwa kumuwinda huku wakituma maskauti wao kwenda katika mechi ya Uingereza kumfuatilia. 

Kama Rashford akiondoka United, hataruhusiwa kuitumikia Madrid mpaka Januari mwaka 2018 kufuatia adhabu ya kutosajili waliyopewa klabu hiyo na Shirikisho la Soka Duniani-FIFA.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here