USAIN BOLT KUJIUNGA NA DORTIMUND - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Monday, November 14

USAIN BOLT KUJIUNGA NA DORTIMUND

NA ANAEL JAMES WAZIRITALL

Klabu ya Ujerumani ya Borussia Dortmund imesema kuwa mwanariadha wa mbio fupi kutoka Jamaica Usain Bolt atashiriki mazoezi na klabu hiyo kwa siku chache.
Jamaica's Usain Bolt celebrates winning the Men's 200 Metre final at Olympic Stadium at the Rio Olympic Games
Bolt amekuwa akisema kwamba angependa kucheza soka baada ya kustaafu katika riadha.


Lakini wakimkaribisha, maafisa wa klabu hiyo wamesema kuwa hakuna hakiksho kwamba mwanariadha huyo ataichezea klabu hiyo katika siku za usoni.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here