IBRAHMOVIC AIPA SALE UNITED DHIDI YA LIVERPOOL,SOMA ZAIDI HAPA - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Sunday, January 15

IBRAHMOVIC AIPA SALE UNITED DHIDI YA LIVERPOOL,SOMA ZAIDI HAPA

 Ibrahimovic celebrates scoring the equaliser.
Mshambuliaji wa Manchester United Zlatan Ibrahmovic ameipatia sare timu yake baada ya kusawazisha goli dakika ya 84 ya mchezo huo uliomalizika hivi punde katika dimba la Old Tlafford

 .
Na mara baada ya mchezo  huo kumalizika Liverpool wanabaki nafasi ya tatu wakiwa na pointi 45 sawa na Totenham Hotspur lakini Spurs wakiwa juu tofauti ya magoli tu na Liverpool kwa upande wa Man United anabaki nafasi yake ya Sita akiwa na point 40 nyuma  ya Man City mwenye point 42 huku Chelsea akiendelea kuongoza ligi kwa pointi 52.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here