MSANII CHIPUKIZI MGABO CHATA ACHANJA MBUGA AJA NA "JIPEPE" ANGALIA HAPA - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Sunday, January 15

MSANII CHIPUKIZI MGABO CHATA ACHANJA MBUGA AJA NA "JIPEPE" ANGALIA HAPA

Msanii chipukizi wa muziki wa kizazi kipya bongo fleva Alfonce Gerrad maarafu MGABO CHATA amekuja kivingine baada ya kuachina wimbo ulioteka hisia za wapenda burudani hapa nchini .


MGABO ambaye ameachia ngoma mpya inayotambulika kwa jina la JIPEPEE iliyosimamiwa vizuri na HASS Q sambamba na BABESH uliotengenezwa katika studio ya ZERO TO HERO zilizopo mji wa madini ya dhahabu si kwingine ni KAHAMA mkoani SHINYANGA.

Awali aliachia wimbo wa INAKUHUSU aliye mshirikisha rapa wa  kanda ya ziwa FOECKA na kufanya kukubalika zaidi kwa wapenda burudani hapa nchini.

Ili kupata nyimbo zote za MGABO CHATA Ingia Mdundo.com

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here