TAIFA STARS YAPANGWA KUNDI MOJA NA UGANGA,ANGALIA RATIBA YA KUFUZU AFCON 2019 HAPA - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Saturday, January 14

TAIFA STARS YAPANGWA KUNDI MOJA NA UGANGA,ANGALIA RATIBA YA KUFUZU AFCON 2019 HAPA

  Image result for taifa stars
Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetoa ratiba ya makundi ya kufuzu michuano ya Mataifa ya Afrika mwaka 2019 (AFCON2019) michuano ambayo itafanyika nchini Cameroon.

Tanzania imepangwa katika kundi L ikiwa pamoja na Uganda, Lesotho na Cape Verde.

Michuano hii hufanyika kila baada ya miaka miwili ambapo mwaka 2017 inafanyikia nchi Gabon ambapo inatarajiwa kuanza leo  Januari 14, 2017.
 

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here