Korea Kaskazini imerusha kombora la masafa mafupi, ambalo ni la tatu kurushwa na taifa hilo katika kipindi cha wiki tatu. Kombora hilo aina ya Scud lilipaa umbali wa kilomita 450 (maili 280) kabla ya kuanguka katika maeneo ya bahari ya Japan, hatua iliyoifanya Japan kulalamika vikali. Wachambuzi wanasema jaribio hilo ni ishara
kwamba Korea Kaskazini inapiga hatua katika kuunda makombora yanayoweza kubeba mabomu. Korea Kaskazini imeendelea kukiuka azimio la Umoja wa Mataifa linaloizuia kufanya majaribio yoyote ya makombora au silaha za nyuklia, na imeongeza kasi na idadi ya majarib... more »
SOURCE:MPEKUZI
No comments:
Post a Comment