BAADA YA KUMALIZA RAUNDI YA MAKUNDI,JE UNAJUA ARSENAL ANACHEZA NA NANI KATIKA MTOANO?ANGALIA HAPA - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Thursday, December 8

BAADA YA KUMALIZA RAUNDI YA MAKUNDI,JE UNAJUA ARSENAL ANACHEZA NA NANI KATIKA MTOANO?ANGALIA HAPA

Image result for ARSENAL
Mechi za Maundi za UEFA CHAMPIONZ LIGI, UCL, zimekamilika Jana na Timu 16 za kucheza Raundi ya Mtoano sasa pia zimekamilika.
Washindi Wawili wa juu wa kila Kundi wameingia Raundi hiyo na Timu zilizomaliza Nafasi za Tatu kila Kundi zimetupwa UEFA EUROPA LIGI kucheza Raundi ya Mtoano ya Timu 32.
Droo ya kupanga Raundi ya Mtoanio ya Timu 16 itafanyika Jumatatu Desemba 12.
TIMU ZILIZOFUZU RAUNDI YA MTOANO YA TIMU 16:
Who's through to the Champions League last 16?
 
Mshindi
Mshindi wa Pili
KUNDI A
Arsenal
PSG
KUNDI B
Napoli
Benfica
KUNDI C
Barcelona
Manchester City
KUNDI D
Atletico Madrid
Bayern Munich
KUNDI E
Monaco
Bayer Leverkusen
KUNDI F
Borussia Dortmund
Real Madrid
KUNDI G
Leicester City
Porto
KUNDI H
Juventus
Sevilla
TIMU AMBAZO ZIMETUPWA EUROPA LIGI:
Borussia Mönchengladbach
Ludogorets Razgrad
Besiktas
Rostov
++++++++++++++++++++++++++++
TAREHE MUHIMU:
MECHI ZA MAKUNDI:
Mechi ya Kwanza: 13 na 14 Septemba
Mechi ya Pili: 27 na 28 Septemba
Mechi ya Tatu: 18 na 19 Oktoba
Mechi ya Nne: 1 na 2 Novemba
Mechi ya Tano: 22 na 23 Novemba
Mechi ya Sita: 6 na 7 Desemba
MECHI ZA MTOANO:
11–12/04/17: Robo Fainali, Mechi ya Kwanza
18–19/04/17: Robo Fainali, Mechi ya Pili
02–03/05/17: Nusu Fainali, Mechi ya Kwanza
09–10/05/17: Nusu Fainali, Mechi ya Pili
03/06/17: Fainali (National Stadium of Wales, Cardiff)



No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here