Askari auawa katika shambulizi la kigaidi Qatif Saudi Arabia - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Monday, June 12

Askari auawa katika shambulizi la kigaidi Qatif Saudi Arabia


Askari jeshi mmoja afariki katika shambulizi lililotekelezwa Qatif nchini Saudi Arabia

Askari mmoja afariki na wengine wawili kujeruhiwa katika shambulizi lililotekelezwa dhidi yao wakiwa katika kazi yao Qatif.

Taarifa hiyo ilitolewa mapema Jumatatu na waziri wa mambo ya ndani wa Saudia Arabia.

Tukio hilo limetokea  Mashariki mwa Saudia Arabia.

Msemaji wa wizara ya mambo ya ndani Mansur al Turki alisema kuwa shambulizi hilo lililotekelezwa Jumapili usiku  Mansura ni shambulizi la kigaidi.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here