Rais JPM ataka vyombo vya Dola viwahoji viongozi waliohusika kwenye mikataba ya Mchanga - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Monday, June 12

Rais JPM ataka vyombo vya Dola viwahoji viongozi waliohusika kwenye mikataba ya Mchanga



Rais John Magufuli avitaka vyombo vya Dola viwahoji watendaji wa serikali walioshiriki kwenye mikataba ya madini tuliyoinga tangu mwaka 1994.

Rais Magufuli amesema kuwa watendaji hao walikosa uzalendo kwa kuweka mbele maslahi yao binafsi.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here