Rais JPM asema mchanga usisafirishwe nje ya nchi - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Monday, June 12

Rais JPM asema mchanga usisafirishwe nje ya nchi



Rais John Magufuli ameendelea kusisitiza kuwa mchanga usiondoke nje ya nchi kutokana  na kiasi kikubwa cha mchanga huo  kuwa na ulaghai wa mikataba ya uchenjeaji.


Rais Magufuli amezungumza hayo leo  alipokuwa akipokjea ripoti ya pili ya Mchanga wa Dhahabu Ikulu Jijini Dar es Salaam

Rais Magufuli amesema nchi inahitaji wawekezaji lakini sio wenye kuikandamiza na kwamba wawekezaji wa namna hiyo hawana faida na nchi.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here