Manchester City yakamilisha usajili wa Danilo kutoka Real Madrid - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Sunday, July 23

Manchester City yakamilisha usajili wa Danilo kutoka Real Madrid


Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola akimkabidhi jezi ya timu hiyo mchezaji mpya, beki wa pembeni, Mbrazil, Danilo (kaatikati) baada ya kukamilisha uhamisho wa Pauni Milioni 27 kutoka Real Madrid akisaini mkataba wa miaka mitano.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here