Singida United yamsajili Kigi Makasi - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Sunday, July 23

Singida United yamsajili Kigi Makasi


Kigi Makasi, Winga huyu aliyehudumu kwa nyakati tofauti timu ya Taifa ya Tanzania, Simba S.C na baadae Ndanda Fc amekamilisha uhamisho wake kutoka Ndanda Fc kwenda Singida United Fc.

Kigj Makasi, Mchezaji anayeongoza kibongobongo kuwa na moyo wa kujituma vilivyo awapo uwanjani, ameamua kuivia beji ya ukepteni wa Ndanda Fc na kuelekea katikati mwa nchi ya Tanzania kuungana na timu ya Ushindi SU.

Kigi Makasi amekuwa ndio mchezaji anayefunga ukurusa wa usajili ndani ya Singida United kwa msimu wa 2017/2018.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here