Alexis Sanchez kuivaa Liverpool Jumapili - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Thursday, August 24

Alexis Sanchez kuivaa Liverpool Jumapili


London, England. Mshambuliaji wa Arsenal, Alexis Sanchez anatarajiwa kuanza kwenye kikosi cha kwanza kitakachoshuka kuikabili Liverpool Jumapili wiki hii.

Sanchez amekuwa akihusishwa kusajiliwa na Manchester City hivi karibuni baada ya klabu hiyo kuonyesha kumhitaji.

Hata hivyo dili la Sunchez kuhaka klabuni hapo linaelekea kuchacha baada ya kocha Arsene Wenger kutangaza kuwa mpango wake wa kumsajili Thomas Lemar kutoka Monaco umegonga mwamba.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here