Askari mmoja ameripotiwa kufariki na wengine watatu kujeruhiwa katika matukio mawili yaliotokea Kissimmee na Jacksonville Florida nchini Marekani.
Polisi huyo aliefariki akijaribu kukabiliana na mshambuliaji huyo baada ya kuwajeruhi wengine wanane.
Katika tukio lingine Jacksonville, mtu aliekuwa na silaha aliejeruhiwa askari wawili.
Polisi imefahamisha Kuwa watu watatu wamekamata wakishukiwa kuhisika na matukio hayo.
No comments:
Post a Comment