Auawa na Polisi baada ya kuwajeruhi watu 8 Urusi - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Sunday, August 20

Auawa na Polisi baada ya kuwajeruhi watu 8 Urusi


Mtu mmoja auawa na Polisi Surgut baada ya kuwajeruhi watu 8 kwa kisu Surgut nchini Urusi

Watu wanane wamejeruhiwa kwa kichomwa kisu mjini Surgut nchini Urusi.

Polisi ya kulinda usalama katika eneo hilo ilifaulu kumfyatulia risasi mtu huyo na kummalizia maisha.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here