Breaking News: Tundu Lissu aachiwa kwa dhamana - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Thursday, August 24

Breaking News: Tundu Lissu aachiwa kwa dhamana


Mbunge wa Singida Mashariki ambaye pia Rais wa TLS na Mwanasheria wa CHADEMA, Tundu Lissu ameachiwa kwa dhamana na Polisi baada ya kumshikilia kwa siku mbili kufuatia kumkamata tangu August 22, 2017.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here