Cristiano Ronaldo, Lionel Messi nani kuibuka na tuzo ya mwanasokai bora wa FIFA 2017 - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Saturday, August 19

Cristiano Ronaldo, Lionel Messi nani kuibuka na tuzo ya mwanasokai bora wa FIFA 2017


 Shirikisho la soka duniani FIFA limetaja wachezaji 23 wakiume na 10 wakike kuwania nafasi ya mchezaji bora wa FIFA ambapo huchaguliwa na Makocha wa timu za taifa, Manahodha, Vyombo vya habari na Mashabiki wakati kura zinatarajia kuanza kupigwa Jumatatu ya Agosti 21 na kufungwa tarehe 7 ya mwezi Septemba.

Hawa ndiyo wachezaji 23 waliotajwa kuwania tuzo ya Mwanasoka Bora wa FIFA 2017 kwa upande wa wanaume.

Hawa ndiyo wachezaji 10 waliotajwa kuwania tuzo ya Mwanasoka Bora wa FIFA 2017 kwa upande wa wanawake.


No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here