Watu 36 wameripotiwa kuafariki katika ajali iliotokea mjini Alexandria nchini Misri.
Wizara ya afya ya Misri imetangaza watu 36 wamefariki katika ajali ya treni mbili ambazo ziligongana majira ya mchana .
Watu wengine zaidi ya 123 wamejeruhiwa katika ajali hiyo.
No comments:
Post a Comment