Man City yaipiga AFC Bournemouth 2 - 1, Sterling alimwa kadi nyekundu - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Saturday, August 26

Man City yaipiga AFC Bournemouth 2 - 1, Sterling alimwa kadi nyekundu


Raheem Sterling akiifungia bao la ushindi Manchester City dakika ya 96 wakiwalaza 2-1 wenyeji, AFC Bournemouth Uwanja wa Vitality katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo kabla ya kutolewa kwa kadi nyekundu kufuatia kuonyeshwa kadi ya pili ya njano. Bournemouth walitangulia kwa bao la Charlie Daniels dakika ya 13 kabla ya mshambuliaji Mbrazil, Gabriel Jesus kuisawazishia City dakika ya 21.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here