Mbunge wa Bunda Mjini Ester Bulaya amekamatwa na Polisi - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Sunday, August 20

Mbunge wa Bunda Mjini Ester Bulaya amekamatwa na Polisi


Taarifa zilizotufikia kutoka Bunda katika Mkoa wa Mara zinasema kuwa Mbunge wa Bunda Mjini Ester Bulaya amekamatwa na Jeshi la Polisi Mara kwa agizo la Mkuu wa Wilaya Tarime Glorious Luoga.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here