AGUERO KULA KWA MACHO DHIDI YA MANCHESTER UNITED - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Tuesday, September 6

AGUERO KULA KWA MACHO DHIDI YA MANCHESTER UNITED

Na Anael James Waziri_Tall

Ikiwa zimebaki siku chache kuchezwa derby ya Manchester Klabu ya Manchester United wanatarajiwa kumkosa Beki wao wa kushoto Luke Shaw kutokana na kuumia katika mechi ya kimataifa dhidi ya Slovekia.
Lakini upande wa Manchester City, STRAIKA wao  Sergio Aguero ataikosa Dabi ya Manchester Jumamosi Septemba 10 dhidi ya Mahasimu wao hao wakubwa  Uwanjani Old Trafford baada ya kufungiwa Mechi 3.

Siku ya Ijumaa iliyopita,Jopo Huru la Ligi Kuu England, EPL, lilimkuta ana hatia ya Uchezaji wa Fujo kwa kumpiga Kipepsi Beki wa Beki wa West Ham Winston Reid na kutoa Adhabu hiyo licha ya Klabu yake kukataa Mashitaka hayo.


No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here