Diamond Platnumz afanya kufuru ya pesa Los Vegas - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Monday, September 5

Diamond Platnumz afanya kufuru ya pesa Los Vegas

Na Babu Ally

Diamond Platnumz ameanza kuonesha kuwa hakubahatisha kwa kauli yake ya aliyowahi kuitoa ya kuhakikisha muziki wake unafika Ulaya na Marekani.



 
Siku mbili zilizopita staa huyo wa Kidogo alionekana akiwa na mchekeshaji na muigizaji wa filamu maarufu duniani, Kevin Hart mjini Los Angeles baada ya kumaliza kushoot video ya wimbo wake wa Marry You aliomshirikisha Ne-yo.
Wikiendi hii hitmaker huyo wa Kidogo amepost kipande cha video Instagram akiwa na muigizaji huyo wa Central Intelligence kwa mara ya pili wakiwa wanakula bata kwenye mji wa Las Vegas. “Oosh! Oosh! Someone gotta call 911…My snapchat is in trouble .. Cc @kevinhart4real #HartbeatWeekend #Lasvegas,” ameandika Diamond kwenye mtandao huo.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here