IHEANCO Amuumiza Boniphace Mkwasa - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Sunday, September 4

IHEANCO Amuumiza Boniphace Mkwasa

Na Anael James


Mshambuliaji wa Manchester City Iheancho amepeleka maumivu Stars baada ya kupiga msumari wa moto mnamo dak ya 78 ya mchezo huo uliomalzika hivi punde.
Taifa stars ikicheza juu ya kiwango ikiokoa michomo ya Washambuliaji kama Ahmed Mussa,Mikel Obi na wengineo kupitia kipa wao Aishi Manula aliyefanya kazi kubwa uwanjani kwa dakika zote za mchezo huo.
Ni lazima Taifa Stars wajilaumu ni kwanini wameshindwa kutumia baadhi ya nafasi walizopata dhidi ya wapinzani.

Tangu mwanzo wa mchezo hadi mwisho wa mchezo Mwamuzi anapuliza kipenga chake Nigeria 1 Taifa Stars 0.


No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here