IBRAHMOVIC:WALETENI TU - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Saturday, September 3

IBRAHMOVIC:WALETENI TU


Na Anael James

Ni maneno ya mshambuliaji wa Manchester United Zlatan Ibrahmovic "Cadabra" zikiwa zimebaki siku sita tu pale itakapopigwa DARBY ya MANCHESTER.

 Zlatan akiwa kafunga goli tatu katika mechi tatu,amesema kuwa hana hofu na CITY japo inaongozwa na kocha mkubwa PEP GUARDIOLA,
Manchester UNITED wao wamepata pigo baada ya kiungo mshambuliaji HENRICK MIKHITAYRIAN kuumia katika mechi na timu yake ya taifa hapo juzi,lakini inasemekana kwamba hajaumia sana hivyo kuna uwezekano wa kuwepo katika mechi hiyo.

United watakao ongozwa na nahodha wao Wayne Rooney wakiwa wameshinda mechi zote tatu kwa jumla ya magoli Sita watashuka dimbani kusaka pointi tatu muhimu dhidi ya City chini na kocha wao Jose Mourinho.

Hata hivyo Kocha wa manchester united Jose Mourinho amesema kwake ushindi upo kama kawaida.



No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here