SAMMATA USO KWA USO NA AHMED MUSA - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Saturday, September 3

SAMMATA USO KWA USO NA AHMED MUSA

Na Anael James

Ndivyo waweza kusema kwa muda huu kwa kuw mchezo wa TAIFA STARS dhidi ya NIGERIA yamebaki masaa tu.










Mchezo huo unaotarajiwa kupigwa majira ya saa moja usiku kwa saa za Afrika mashariki.
Timu ya TANZANIA itakayotarajiwa kuongozwa na nyota wake kutoka klabu ya KRC GENK ya Ubelgiji MBWANA SAMMATA aliye katika ubora mzuri sana akiwa yupo kileleni kwenye list ya wafungaji katika ligi ya Ubelgiji,
Mbali na hivyo mshambuliaji machachari wa LEICESTER CITY aliyesajiliw msimu huu akitokea CSKA MOSCOW ya Urusi AHMED MUSA ambaye yupo katika kikosi cha NIGERIA watapambana kuonyeshana ubabe kwakuwa wote wapo katika ubora mzuri katika timu zao.









No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here