Mbeya CITY kushika uskani wa LIGI KUU - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Saturday, September 3

Mbeya CITY kushika uskani wa LIGI KUU

Na Anael James
Klabu ya wagonga nyundo wa jiji la Mbeya wanatarajiwa kuongoza ligi endapo watashinda mchezo wao wa leo utakaopigwa muda si mrefu jijini Mwanza na klabu ya MBAO FC ya jijini Mwanza.
Mbeya CITY wakiwa na pointi nne sawa na Simba SC,Azam FC,Ruvu Shooting na Prison leo itakaa kileleni endapo itashinda au kutoka sare kutokana na timu zilizojuu hazitacheza leo hadi hapo badae.
Kocha wa Mbeya CITY,Kinnah Phiri amesema kuwa kikosi chake kipo vizuri na wanatarajia kuongoza ligi.

Mbali na hapo kocha wa Mbao FC,Ndairagaje Etiene, amesema kuwa timu yake ipo nafasi mbaya sana katika nafasi ya 13 kwenye msimamo wa ligi hivyo kuna ulazima mkubwa wa kushinda.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here