Kumi wafarika 7 wajeruhiwa katika ajali mwanza - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Wednesday, September 21

Kumi wafarika 7 wajeruhiwa katika ajali mwanza

Na Mustafa Ismail

Watu kumi wauwawa na wengine saba wajeruhiwa katika ajali baada ya basi walilokuwa wakisafiria kutoka mwanza kuelekea mbeya kuhusika katika ajali ya kugongana na daladala
Ajali hiyo imetokea mapema hii leo  majira ya saa kumi na mbili na nusu asubuhi katika kijiji cha ihungumwa wilayani kwimba

Kamanda wa polisi Ahmed mtwangi amethibitisha tukio hilo “Ajali imetokea majira ya saa kumi na mbili asubuhi katika kijiji cha Ihugumwa wilaya ya kwimba ajali imehusisha basi la kampuni ya super shem ambayo iligongana na Toyota hiace”.Alisema RPC

Hata hivyo kamanda huyo hakutoa sababu ya ajali  


No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here