Mexico Yapeta Kibabe - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Saturday, September 3

Mexico Yapeta Kibabe

Na Anael James

Michezo ya kimataifa inayoendelea  kuchezwa dunian kote Klabu ya Mexico imeicharaza El Salvador magoli matatu kwa moja.


Katika mechi hiyo El Salvador ndio walioanza kupata goli kwa mkwaju wa penalti mnamo dk ya 24 ikiwekwa kimiani na Larin.

Lakn kipindi cha pili hali ya hewa ilichafuka upande wa El Salvador na kupewa maumivu ya mfurulizo na Mexico.

na magoli ya Mexico yakifungwa na Hector Moreno dk 52, Sepulveda dk 58 na Raul Jimenez akifunga la penalt katika dk ya 73.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here