IBRAHMOVIC AMUONYA KIPA WA MANCHESTER CITY CLAUDIO BRAVO - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Thursday, September 8

IBRAHMOVIC AMUONYA KIPA WA MANCHESTER CITY CLAUDIO BRAVO

Na Anael James Waziri_Tall

Ikiwa zimebaki siku mbili tu kupigwa kwa darby ya Manchester maneno yamezidi kuwa mazuri kiasi kwamba kutia morali kwa mashabiki wa soka Duniani.

Streka wa Manchester UNITED Ibrahmovic amempa onyo Goli kipa mpya wa Machester CITY Claudio Bravo kuwa ajiandae kupokea kipigo kutoka kwake,na kumtumia vifaa vya michezo ikiwemo kiatu alichokuwa akitumia katika mazoezi kupitia mtandao wa kijamii wa Facebook na Kumtag kiasi kwamba awe makini katika mchezo huo.

Ibrahmovic akiwa ndiye kinara wa magoli katika klabu yake ya Manchester UNITED akiwa ameifungia magoli matatu katika mechi zake tatu kwenye ligi kuu Uingeleza atakutana na Mahasimu wao katika Dimba la OLD TRAFFORD jumamosi mchana.

Manchester United inatarajia kumkosa Beki wao wa kushoto LUKE SHAW aliyeumia kwenye mechi ya kimataifa kati ya timu yake ya Taifa ya England ilipocheza na Slovekia, na Sambamba na beki wa kulia ANTONIO VALENCIA ambaye Timu yake ya Taifa itakapocheza mchezo leo usiku na kama atapewa muda wa kupumzika na kocha Jose Mournho kutakuwa na uwezekano wa kumkosa katika mechi hiyo na itambidi kumtumia Daley Blind kama beki wa kushoto na Darmian kama Beki wa Kulia.

RATIBA LIGI KUU ENGLAND

Saa za Afrika Mashariki

JUMAMOSI SEPTEMBA 10

14:30 Man United v Man City               

17:00 Arsenal v Southampton            

17:00 Bournemouth v West Brom          

17:00 Burnley v Hull         

17:00 Middlesbrough v Crystal Palace              

17:00 Stoke v Tottenham            

17:00 West Ham v Watford         

19:30 Liverpool v Leicester         

JUMAPILI SEPTEMBA 11

18:00 Swansea v Chelsea  
 
JUMATATU SEPTEMBA 12

22:00 Sunderland v Everton

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here