VANESSA MDEE NA MEDIA TOUR ZA NJE - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Thursday, September 8

VANESSA MDEE NA MEDIA TOUR ZA NJE

NYOTA wa zamani wa kimataifa wa Brazil na klabu za Barcelona na AC Milan, Ronaldinho amebainisha nia yake ya kutaka kutundika daruga zake baada ya kupita miaka 18 akisakata kabumbu barani Ulaya na Amerika Kusini. Mkongwe huyo mwenye umri wa miaka 36, ni mmoja kati ya wachezaji wachache kuwahi kunyakuwa mataji ya Ligi ya Mabingwa Ulaya na lile la Copa Libertadores na pia amewahi kutwaa Kombe la Dunia akiwa na Brazil mwaka 2002. Lakini kushindwa kwake kutulia katika klabu moja toka alipoondoka Atletico Mineiro mwaka 2014 kunamfanya kufikiri kuwa wakati wake wa kustaafu umefika. Akizungumza na wanahabri jijini New York, Ronaldinho amesema kwasasa ameshakuwa mtu mzima na sio Ronaldinho yule aliyekuwa na miaka 26 waliyemzoea. Nyota huyo alindelea kudai kuwa anadhani wakati wake wa kustaafu umefika na atafanya hivyo baada ya kucheza kwa kipindi cha mwaka mmoja zaidi.

Make Money Online : http://ow.ly/KNICZ
Na Babu Ally

Vanessa Mdee amefunguka sababu inayomfanya awe na ziara za mara kwa mara kwenye vyombo vya habari vya nchi za nje ikiwemo Nigeria na nchi nyingine anazopendelea kwenda.



Muimbaji huyo amekiambia kipindi cha Planet Bongo cha East Afrika Television kuwa anafanya sana media tour kwenye nchi nyingine kwakuwa inamsaidia kupata mashabiki wengi zaidi.

“Unajua nafanya sana media tour, kwani wenzetu ni wazito sana kupokea kazi za wasanii wa nje ya kwao. Hivyo hizo media tour zinanisaidia kujenga fan base katika nchi zao,” amesema Vee Money.

Vee Money ni mmoja kati ya wasanii wachache wa Bongo Fleva waliofanikiwa kupata collabo na wasanii wa nje akiwa tayari ameshafanya kazi na wasanii kutoka nchi tofauti topfauti ikiwemo Nigeria, Togo, Malawi, Ufaransa na sehemu zingine.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here