Wapenzi wa jinsia moja nchini Ireland kuchangia damu - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Thursday, September 1

Wapenzi wa jinsia moja nchini Ireland kuchangia damu

Na Salum Aboud

Marufuku waloowekewa wapenzi wa jinsia moja kutoa damu Ireland Kaskazini inatarajiwa kuondolewa siku ya Alhamisi.juma hili











Hatua hiyo inamaanisha kwamba wanaume ambao walifanya mapenzi na wanaume wenzao katika kipindi ch miezi 12 iliopita watakuwa huru kutoa damu iwapo wataafikia vigezo vya kutoa damu vinavyohitajika.
Mabadiliko hayo ya sera yalitangazwa na waziri wa afya Michelle O'neill mnamo mwezi Juni.
Mpango huo sasa unaileta pamoja Ireland Kaskazini na mataifa kama vile Uingereza,Uskochi na Wales.
Hatua hiyo inamaanisha kwamba wapenzi wa jinsia moja wanaweza kutoa damu iwapo watakuwa walifanya mapenzi katika kipindi cha miezi kumi na mbili iliopita

mapenzi ya jinsia moja yamekuwa yakipigwa vita katika baadhi ya nchi huku nchi nyingi nyingi zikiwa za barani afrika.

japo juhudi za viongozi wa dini kulipingwa swala hilo hazijafua dafu kwa madai kuwa kuna uhuru wa kufanya hivyo
.
mpira upo kwako kuangalia ipi njia sahihi.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here