KUHUSU MECHI YA ARSENAL NA BAYERN INAYOSUBILIWA ,ANGALIA TATHMINI YAKE HAPA - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Tuesday, December 13

KUHUSU MECHI YA ARSENAL NA BAYERN INAYOSUBILIWA ,ANGALIA TATHMINI YAKE HAPA


Baada ya Arsenal kupangwa na Bayern Munich katika hatua ya 16 Bora ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, gumzo kubwa limekuwa ni mechi hiyo.

Tokea mwaka 2000, Arsenal imekutana na Bayern Munich mara 10 katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.


Kukutana mara 10, maana yake ni mara tano kwa maana ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya lakini kunakuwa na mechi mbili katika mkutano mmoja, yaani nyumbani na ugenini.

Katika mara zote hizo, Arsenal haijaweza kufuzu hata mara moja dhidi ya vigogo hao wa Ujeurmani. 

Katika mara 10 zilizokutana, Arsenal imeshinda tatu, Bayern imeshinda mara tano na sare mbili.




2015-16
B. Munich 5-1 Arsenal (Nov 4, 2015)
Arsenal 2-0 B. Munich (Oct 20, 2015)

2013-14
B. Munich 1-1 Arsenal (Mar 11, 2014)
Arsenal 0-2 B. Munich (Feb 19, 2014)

2012-13
B. Munich 0-2 Arsenal (Mar 13, 2013)
Arsenal 1-3 B. Munich (Feb 19, 2013)

2004-05
Arsenal 1-0 B. Munich (Mar 9, 2005)
B. Munich 3-1 Arsenal (Feb 22, 2005)

2000-01
B. Munich 1-0 Arsenal (Mar 14, 2001)

Arsenal 2-2 B. Munich (Dec 5, 2000)

source:SalehAlly

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here