MRISHO NGASSA YANI MAJANGA MATUPU,HABARI ZOTE HAPA - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Thursday, December 15

MRISHO NGASSA YANI MAJANGA MATUPU,HABARI ZOTE HAPA

Image result for ngassa 

Mshambuliaji wa zamani wa timu za TOTO AFRICAN,YANGA SC,SIMBA SC,FREE STATE UNITED,FANJA FC N.K Mrisho Khalfan Ngassa hatimaye karejea nchini Tanzania kimya kimya na jana amekwea pipa kwenda jijini Mbeya.

Habari zilizopo ni kwamba Ngassa anaweza kujiunga na wagonga nyundo wa jiji la Mbeya akini upande  wake bado hajaweka wazi,
Mrisho Ngasa kabla ya kurejea Tanzania alikuwa nchini OMAN kwenye klabu ya Fanja Fc na kabla ya hapo ilimbidi avunje mkataba wake na timu ya FREE STATE UNITED ya kule nchini Afrika ya Kusini kwakuona anasugua benchi pasipo kawaida.
Ngassa ataweza kusaini Mbeya City tayari kuungana na kocha wake wa zamani ambaye ni Kinnah Phiri.
#Ngassa nyumbani ni nyumbani.

Karibu tena kwenye mtandao  huu kwa habari zote.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here