Breaking News nyumba Mbili zateketea kwa Moto Dar - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Tuesday, July 4

Breaking News nyumba Mbili zateketea kwa Moto Dar




Nyumba mbili Jijini Dar es Salaam zinateketea kwa moto Magomeni  Mapipa Jiji Dar es Salaam.

Hadi sasa hakuna Taarifa Rasmi juu ya waathirika wa Ajali hiyo.

Moto huo ulionza majira ya alasiri hakijabainika chanzo cha Ajali hiyo.

Vikosi vya ukoaji vipo eneo la tukio na Jeshi la Polisi Pia limewahi kufika sehehmu ya Tukio..









No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here