INTER YAIPIGA CHELSEA 2-1 - MKWELITZ BLOG

Breaking

.

.

.

.

Saturday, July 29

INTER YAIPIGA CHELSEA 2-1

 

Winga anayewaniwa na Manchester United, Ivan Perisic akipiga shuti kuifungia bao la pili Inter Milan dakika ya 53 ikiilaza 2-1 Chelsea Uwanja wa Taifa wa Singapore katika Kombe la Mabingwa wa KImataifa leo.

Bao lingine la Inter Milan limefungwa na Stevan Jovetic dakika ya 45 na ushei, wakati la The Blues lilifungwa na Geoffrey Kondogbia aliyejifunga dakika ya 74..

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here