Kiongozi wa upinzani nchini kenya Raila Amolo Odinga ameshindwa kuwahutubia wafuasi wake kama alivyokua ameahidi kuwahutubia hii Leo
Odinga alitarajiwa kuhutubia wafuasi wake na kutoa muelekea wabmuungano wa NASA kutokana na kutokubali matokeo ya urais ya yaliyotangazwa juzi na tume ya uchaguzi nchini humo IEBC na muungano wa NASA kupinga matukio ya urais.
Muungano huo unatarajia kuhutubia tena kesho.
No comments:
Post a Comment